USIKU WA KANGA ZA KALE

USIKU WA KANGA ZA KALE

Monday, November 8, 2010

KARIBUNI

Naitwa Asia Idarous Khamsin, ni mbunifu wa mitindo ya mavazi na ni mama wa mitindo Tanzania.Pia ni muandaaji wa maonyesho ya mavazi tofauti duniani,  nimeona ni jambo jema kuanzisha blog hii, ili niweze kuwasiliana najamii kwa ukaribu zaidi. nahitaji ushirikiano wenu. karibuni

Saturday, November 6, 2010

HONGERA....

Asia Idarous Collection...Swahili Fashions

Asia Idarous Collection. Picture by Japheths Njagi.

Swahili Fashion Week 2010 started at Karimjee gardens

Nine fashion designers showcase their collection for the first day of Swahili Fashion Week 2010

Sixteen female and six male models strutted the catwalk gracefully

The third Swahili Fashion Week 2010 two hour fashion show started right on time with pomp and colour amid applauses from invited guests who consisted of who is who in Dar er salaam entertainment, business arenas and diplomatic corp world.

Held at Karimjee gardens, Nine fashion designers ;Manju Msita (Tanzania), Farha Sultan (Tanzania), Kemi Kalikawe (Tanzania),Malaria Haikubaliki (Tanzania), Sonu Sharma (Kenya) Asia Idarous (Tanzania), Zamda George (Tanzania), Shelina Ebrahim (Tanzania/ Canada) and Tanzania Mitindo House showcased their latest world class innovative Swahili designs.

Sixteen female and six male models strutted the catwalk gracefully as everyone put their heads forward to catch the glimpse of the night highlights. The interlude by MCee of the event, BBA 1 contestant who is also SFW Fashion Advisory Board member appealed to people to take all necessary precautions against malaria as it is the number one killer disease than HIV/Aids scourge in Africa.

Also, Swahili Fashion Week Shopping Festival has commenced. Numerous colorful stalls have filled the Karimjee Hall gardens. Artisans, craftsmen and fashion designers from various parts of the country and within Africa have converged to offer a taste of their unique products from the multiplicity of places that they have come from

The Swahili Fashion Week Shopping Festival has got exemplary art, diverse culture and great innovations. The products vary from paintings, garments, necklaces, bracelets, anklets, earrings, rings, sculptures, beauty products such as facial scrubs and so much more, indeed there is something for everyone.

Sales and marketing manager, Mr. Khamis Omar has said that this time there is a huge turn out of many entrepreneurs from across the country; we encourage people to visit and buy these products, to promote these local industries.

“The Swahili fashion bazaar has facilitated participants to learn from each other and this has helped them devise means to improve their business.” Washington Benbela, Swahili Fashion Week’s Fashion cordinator observed.

One of the exhibitors Ms. Munawar S.Mbarouk, of Muna Beauty centre from Zanzibar, anticipated to make huge products sales, at the same time get publicity boosts. “Swahili Fashion Bazaar is a platform that offers such opportunity”, Ms Munawar said.

Swahili Fashion Week Shopping Festival invites everyone to come and shop from truly African producers for truly African buyers.

Swahili Fashion Week 2010 has been sponsored by Southern Sun, home of Swahili Fashion Week, Origin Africa, USAID Compete, MALARIA HAIKUBALIKI BASATA (Baraza La Sanaa Taifa), Ultimate Security, Monier 2000, Colour Print Ltd, Global Outdoor Ltd, Amarula, Vayle Springs Ltd, ZG Films, Darling Hair, Danish make up designs, Nipashe, Bilicanas, Perfect Machinery Ltd, 1&1 Internet Solutions, Sengi Tours, Ifashion, 361 Degrees and EATV & East Africa Radio.

###


Saphia Ngalapi
Media & PR Manager
Mustafa Hassanali
PO Box 10684, Dar es Salaam, Tanzania
105 Kilimani Road, Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania
(opp. Patricia Metzger Health & Beauty Clinic / near French Embassy)
Tel : +255 (0)22 266 8555
Mobile : +255 (0)712 099 834
Mail : media@mustafahassanali.net
Web : www.mustafahassanali.net
www.swahilifashionweek.com
www.harusitradefair.com
www.twende.info.

KARIBUNI FABAK FASHIONS....

Sunday, April 6, 2008


WAPENZI WOTE WA MITINDO NA ULIMBWENDE NAWAKARIBISHA KATIKA KIJIJI HIKI AMBAPO PAMOJA NA KAZI ZANGU NA MAELEZO YA KINA KUHUSU FANI HIZO PIA NITAKUWA NINAWALETEA HABARI ZINAZOHUSIANA NA MAMBO HAYO KILA YATOKEAPO HAPA NYUMBANI NA NJE YA NCHI. KARIBUNI KUTOA MAONI NA HATA KUKOSOANA KWA KUJENGA ILI TUENDELEZE FANI HIZI ADHIMU. PICHANI NI MIMI NA MUME WANGU BW. KHAMSIN IDDY AMBAYE PIA NI MWENYEKITI WA FABAK FASHIONS YENYE MAKAO MAKUU YAKE MSASANI, KARIBU NA NEW MSASANI CLUB, AMA MAKAO MAKUU YA ZANTEL, DAR ES SALAAM.

asia and khamsin up for the final bow

Sunday, April 6, 2008


CHAIRMAN OF FABAK FASHIONS KHAMSIN IDDY AND HIS MANAGING DIRECTOR ASIA IDAROUS WALK THE CATWALK TOWARDS THE FINAL BOW DURING THE CLIMAX OF THIS YEAR'S SUCCESFUL LADY IN RED FASHION SHOW HELD ON VALENTINE'S WEEK AT MOEVENPICK HOTEL IN DAR ES SALAAM

lady in red

FELICIA AND RICHARD IN LATEST FABAK
FABAK EVENING WEAR
MISS FABAK 2007 IN FABAK KIKOI
FABAK MINI EVENING DRESS
FABAK NIGHTIE

lady in red

MC JOKETI IN FABAK'S LADY IN RED SPECIAL
FABAK MATERNITY
FABAK TRANSPARENT INTERNATIONAL
FABAK TEEN
FABAK RED OUTING

LADY IN RED

USIKU WA KHANGA WAFANA DIAMOND JUBILEE


  Mwanamitindo Machachari Fiderin Iranga akipita na vazi la Khanga jukwaani katika onesho la Usiku wa Khanga onesho lililoandaliwa na mbunifu wa mavazi Asia Idarous kutoka kampuni ya Faback Fashion, onesho hilo linafanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee VIP usiku huu jijini Dar es salaam. Hivi sasa nahamia upande wa pili katika ukumbi huu huu wa Diambond Jubilee ambako kuna onesha la kukata na shoka la mwanamuziki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Ferre Golla (Shetani) ambaye anafanya onesho pamoja na bendi ya Mashujaa ya jijini Dar es salaam usiku huu.

Mbunifu wa mavazi kutoka kampuni ya Kapwani Grace Sinamtwa akiwa katika picha ya pamoja na Mathew aliyevaa shati lililobuniwa na mbunifu huyo.
Mwanamuziki Baby Madaha akiimba katika onesho hilo.
Mkurugenzi wa Casablanca Pub ya Kinondoni Mamaa Salma akiwa katika pozi.
Mbunifu wa Mavazi Grace Sinamtwa wa pili kutoka kushoto akiwa katika picha ya pamoja na Jokate Mwegelo ambaye pia ameshiriki katika kuonesha mavazi ya Usiku wa Khanga kulia ni Brighter Fredy na kushoto ni Mathew Mkurugenzi wa Kapwani.
Wapenzi mbalimbali wa mitindo wakifuatilia onesho hilo.
Hebu licheki hili mdau
Vazi la jioni la kutokea lililobuniwa kwa khanga.
Vazi la ajabu lililobuniwa kwa makuti na Khanga.

USIKU WA KANGA ZA KALE

0 comments